IQRA FM Radio, broadcasting national wide from Mwanza, Tanzania, is a pioneering and leading radio station. Our diverse programs are based on the Islamic faith, and we are on air 24 hours a day. Visit our website at IQRA FM to explore our content.” 📻🌐

Kipindi cha Usiku wa Kheri

Ni kipindi cha wasikilizaji kupiga simu wakitakiana salamu za usiku/mada za ndoa. Kipindi hiki kinaongozwa na KHAMIS ABDALLAH  kuanzia saa 5:00 usiku mpaka saa 7:00 usiku kuanzia jumatatu hadi ijumaa.Tangaza nasi kupitia 0789039909.

Share:

Write a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *