IQRA FM Radio, broadcasting national wide from Mwanza, Tanzania, is a pioneering and leading radio station. Our diverse programs are based on the Islamic faith, and we are on air 24 hours a day. Visit our website at IQRA FM to explore our content.” 📻🌐

News

Kipindi cha Dufu la jioni

Ni kipindi kinachotoa taarifa kubwa za siku uchambuzi wake pamoja na kujifunza masuala kadha wa kadha katika uislamu. Kipindi hiki kinaongozwa na HASSAN YUSUF  kuanzia saa 10:00 Alasiri mpaka saa 1:30 usiku kuanzia jumatatu hadi ijumaa.Tangaza nasi kupitia 0789039909.

Kipindi cha Ujumbe wa Qur’aan

Ni kipindi kinachotoa elimu na maelekezo yaliyotolewa kutoka ndani ya Qur’aan mfano maelekezo kuhusu mirathi talaka n.k.  Kipindi hiki kinaongozwa na ZATIFA RAMADHANI  kuanzia saa 5:00 asubuhi mpaka saa 7:00 mchana kuanzia jumatatu hadi ijumaa.Tangaza nasi kupitia 0789039909.

Kipindi cha Jalsa la Leo

Ni kipindi kinachoelezea Mambo yanayohusu Mwanamke zaidi kwa misingi ya Dini ya kiislamu.Kipindi hiki kinaongozwa na TATU JABU kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 5:00 asubuhi kuanzia jumatatu hadi ijumaa.Tangaza nasi kupitia 0789039909.

Dimba la Michezo

Ni kipindi kinachotoa taarifa mbalimbali za kimichezo kitaifa na kimataifa pamoja na uchambuzi wa taarifa hizo.Kipindi hiki kinaongozwa na KUSAGA UNGURA kinachoanza saa 2:00 asubuhi mpaka saa 3:00 asubuhi kila jumatatu hadi ijumaa.Tangaza nasi kupitia 0789039909.  

Kipindi cha Asubuhi njema

Ni kipindi kinachotoa Taarifa mbalimbali za kitaifa na kimataifa pamoja na uchambuzi wake.Kipindi hiki kinasimamiwa na mtangazaji wetu JUMA SALUMU kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka saa 2:00 asubuhi kila jumatatu hadi ijumaa.Tangaza nasi kupitia 0789039909.  

uhujumu uchumi

Baada ya vitisho hivyo mwanafunzi huyo alilazimika kutekeleza kitendo hicho pasipo ridhaa yake. Katika hatua nyingine Bakari Katembe mwenye umri miaka 19 mkazi wa Kijiji cha Mdumbwe amehukumiwa kwenda jela maisha baada ya kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu. Mtuhumiwa huyo alimlaghai mtoto huyo kwa kumununulia pipi kisha kumchukua […]