Kipindi cha Dufu la jioni
Ni kipindi kinachotoa taarifa kubwa za siku uchambuzi wake pamoja na kujifunza masuala kadha wa kadha katika uislamu. Kipindi hiki kinaongozwa na HASSAN YUSUF kuanzia saa 10:00 Alasiri mpaka saa 1:30 usiku kuanzia jumatatu hadi ijumaa.Tangaza nasi kupitia 0789039909.