Kipindi cha Mjue Allah na Mtume wake
Ni kipindi kinachozungumzia kwa upana utukufu wa Allah na Mtume wake na kuelimisha jamii.Kipindi hiki kinaongozwa na SABRINA SHAABAN kuanzia saa 8:00 mchana mpaka saa 10:00 jioni kuanzia jumatatu hadi ijumaa.Tangaza nasi kupitia 0789039909.