Kipindi cha Ujumbe wa Qur’aan
Ni kipindi kinachotoa elimu na maelekezo yaliyotolewa kutoka ndani ya Qur’aan mfano maelekezo kuhusu mirathi talaka n.k. Kipindi hiki kinaongozwa na ZATIFA RAMADHANI kuanzia saa 5:00 asubuhi mpaka saa 7:00 mchana kuanzia jumatatu hadi ijumaa.Tangaza nasi kupitia 0789039909.