Kipindi cha Usiku wa Kheri
Ni kipindi cha wasikilizaji kupiga simu wakitakiana salamu za usiku/mada za ndoa. Kipindi hiki kinaongozwa na KHAMIS ABDALLAH kuanzia saa 5:00 usiku mpaka saa 7:00 usiku kuanzia jumatatu hadi ijumaa.Tangaza nasi kupitia 0789039909.